Ndugu kama ni mtuhumiwa na umefungua kesi acha polisi wafanye kazi wewe endelea kufanya kazi ili kujenga nchi,hata tukikwambia hutaweza kutumia baadhi ya njia ila polisi wanaweza kwani ni kazi ya😵koa muda wako,wapatie wenye kazi hiyo wafanye.

Hatua za kuchukuwa
1. Ripoti polisi na ufungue kesi. Nakushauri ufungue kesi yako central police station.
2. Omba wakupe mpepelezi katika kitengo cha uhalifu wa mitandao.
3. Wakabizi namba ya muhalifu ili wafanye traking.
Mimi sijui sema polisi wetu wana nini?Usipoteze muda wako hicho unachotaka kinawezekana ila huwezi kuwa na ruhusa ya kutumia baadhi ya njia kama ni raia wa kawaida.Otherwise utumie njia ambazo inawezekana zikakusaidia au zisikusaidie kama kutafuta mtu ampigie simu amwite jina jingine amabalo siyo lake alazimishe hiyo namab ilikuwa ya jamaa yake,then amwulize yeye yuko wapi ,jamaa anaweza akasema ukweli au uongo.Nizijuazo mimi hazina discussion ni real ila huwezi kuzitumia ndiyo maana kama unamdai pesa nyingi nenda polisi wao watafanya kazi hiyo.