.wav ndiyo kubwa, lakini sikubaliani na wewe kwamba wav ukiweka high quality ndiyo inakuwa file size kubwa kwa sababu zifuatazo;
Wav ni lossless audio format, kwa hiyo lazima litakuwa mara tatu au nne ya file size la .mp3
Kutokana na mantiki hiyo hapo juu, .wav hata ikiwa kwenye quality ndogo lazima tu itazidi ukubwa wa mp3, jaribu kuangalia encoders nyingi utaona. Wav, flac, apple lossless na aiff zote hizo ni kama containers za audio kwa kuwa kunakuwa hakuna quality loss, that's why hata zikaitwa lossless. Lakini .mp3 ni compressed audio file ambayo ili-intend zaidi katika kusave space.
Kwa hiyo dugu teac kapex file size inalosave space zaidi ni .m4a, ambayo ndiyo successor wa .mp3 ingawa .m4a siyo open source kama .mp3. M4a inamilikuiwa na apple company.
Kwa hiyo ninakushauri kama una cd unazotaka kurip na una space kwenye computer, nakushauri urip kwenda lossless kama flac, wav etc. Lakini kama una nyimbo unazotaka kuzichange format, sitakushauri maana utavuruga quality ya hizo nyimbo kama utachange format kubwa, unless ikulazimu sana. KUMBUKA: Ukitaka size ndogo lazima upoteze quality kwa kiasi kikubwa, kwa hiyo hata hutaweza kufurahia kama ni nyimbo, kwa sababu "quality matters", kwa hiyo jaribu