Wadau naomba kujua kama kuna kampuni za kimataifa zinazotoa mikopo yenye masharti nafuu! Benki zetu zimekuwa za kinyonyaji kutokana na riba kubwa. Kama zipo naomba kupatiwa ushuhuda wa hayo!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.