Najaribu kuverify cheti cha kuzaliwa online kwa ajili ya kuomba ufadhili (mkopo) kutoka bodi ya mikopo ya elimu ya juu muda ukifika, sasa najaza particular zangu na za mama lakini nikifika stage ya mwisho ku attach birth certificate ndio hairespond kabisa ku upload attachment na ile page inabaki vivo hivo
Kama inavojionesha kwenye screen shot hapo chini.
Naomba msaada wa kiufundi au njia nyingine ya kuverify