Nkwama welding
Member
- Oct 2, 2011
- 61
- 12
Hapo kwenye networkWadau nina simu aina ya itel ina android nataka kutumia intrrnet kupitia line ya tigo naomba mnisaidie kujaza maelezo yafuatayo: Name. APN. Proxy. Port. Username. Password. Server. Mmsc. MNC. Authentification type.APN type.APN protocal. Nitashukuru kwa msaada wenu
hapo kwenye network
setting click more setting halafu add nrw apn ikija sehemu ya kujaza sehemu muhimu ni apn tu weka neno internet au tigoweb then save unakuwa umemaliza.sehemu nyingine ziache
nenda settings halafu wireless and networks halafu mobile networks setting
name andika tigo
apn andika internet kisha save thats it subiri kidogo and there you go
vp kuhusu vodacom nayo unafanya hivyo hivyo?? msaada plz wadau
Wadau nina simu aina ya itel ina android nataka kutumia intrrnet kupitia line ya tigo naomba mnisaidie kujaza maelezo yafuatayo: Name. APN. Proxy. Port. Username. Password. Server. Mmsc. MNC. Authentification type.APN type.APN protocal. Nitashukuru kwa msaada wenu
Hapo kwenye network
Setting click more setting halafu add nrw APN ikija sehemu ya kujaza sehemu muhimu ni APN tu weka neno internet au tigoweb then save unakuwa umemaliza.sehemu nyingine ziache
Hapo kwenye network
Setting click more setting halafu add nrw APN ikija sehemu ya kujaza sehemu muhimu ni APN tu weka neno internet au tigoweb then save unakuwa umemaliza.sehemu nyingine ziache
samahani nami nina simu aina ya TECHNO HD51 nataka kuweka internet kwa simu yangu nifuate njia zipi kama huyo uliyemwelekeza hapo juu?
nisaidie kwa hili[/QUOTE ladyfurahia
Sorry for late reply..hiyo procedure ni kwa simu zinazotumia mfumo wa Android.Japokuwa setting ni zilezile ila menu hutofautiana kutokana na mfumo.japo siihui simu hiyo wewe tafuta kwenye setting za network uedit jina na APN tu.field zingine ziwe blank
Mitandao yote kasoro Zantel hapo kwenye apn jaza neno internet then save or activate
DATA settingsNetwork setting unaipata wapi?.
Au simu zingine zinatumia jina gani?