Kilangi masanja
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,629
- 5,262
Ndugu habar,ninaomba msaada wenu kuhusu hili,nina dish la zuku ambapo juzi mafundi walikuja wakaezua paa hvyo kulitoa dish kutoka lilipokuwepo awali ,jana nikaamua kulirudsha ili niweze kuendelea kupata huduma ila nikagundua ilikuwa wamekata kutokana na kuwa ili kuwa ndo siku ya kufanya malipo ,nikajarbu kuset kwa kutumia chanel no1 ambayo ni zuku zone yani ile ya matangazo tu lakini imeshindkana na mara zote huwa tunawasha dkda inakuwa onn na tv pia ndipo uweze kufanya malipo .sasa ndugu zangu ntafanyaje malipo bila ya kuwa na uhakika wa position ya dish ?Au ni2mie zile strength &quality kusetia yani nicheze na mstari wa kijani ki% au nibebe dekoda nikaiweke sehemu yenye dsh la zuku nifanye malipo kwanza ndo nije niendelee kuweka dsh?Pia kwani zuku zone nayo siku hizi nayo hukata baada ya kukata chanel zingne .asanteni