Msaada kuhusu wizara ya MIFUGO | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada kuhusu wizara ya MIFUGO

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Zuia Sayayi, Apr 18, 2012.

 1. Zuia Sayayi

  Zuia Sayayi JF-Expert Member

  #1
  Apr 18, 2012
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 828
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  HESHIMA MBELE WAKUU!
  Jamani naomba kujuzwa,
  hivi hii wizara ya Mifugo inatoa lini NAFASI ZA MASOMO kwa mwaka wa masomo 2012/2013 ?
  maana naangalia kwenye website yao hata sio kama kuna Tangazo
  AU
  kama wameishatoa Nafasi hzo ntawezaje kupata form yao?
   
 2. Asu tz

  Asu tz JF-Expert Member

  #2
  Apr 18, 2012
  Joined: Dec 10, 2011
  Messages: 312
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 45
  bado hawajatoa!!!
  nilienda pale wizaran wik 1 iliyopita wamesema wanaweza kutoa mwishon mwa mwez huu. Vuta subira mkuu wakitoa 2tafahamishana.
   
 3. Zuia Sayayi

  Zuia Sayayi JF-Expert Member

  #3
  Apr 18, 2012
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 828
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Thanks
  braza
  maana nilishaanza kuwa na wasiwasi
  ntakuwa mvumilivu
   
 4. Asu tz

  Asu tz JF-Expert Member

  #4
  Apr 18, 2012
  Joined: Dec 10, 2011
  Messages: 312
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 45
  2po per 1 2tazid kufahamishana.
   
Loading...