msaada kuhusu wizara ya elimu na ajira zake.

msaada kuhusu wizara ya elimu na ajira zake.

TUSAJIGWEGE

Member
Joined
Jan 26, 2013
Posts
14
Reaction score
2
Eti ukituma barua wizara ya elim kuomba upangiwe kufundisha kwa mtu uliyosoma kozi isiyo ya ualim inawezekana kupangiwa?
 
Kwa sasa haiwezekani,wanataka mtu aliyesomea ualimu tu
 
Back
Top Bottom