msaada kuhusu whatsapp

bonem

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2015
Posts
235
Reaction score
55
wadau nimeshindwa kabisa kudownload whatsapp kwenye simu yangu. mwanzoni ilikuwepo mara wakaniambia kwamba imefikia ukomo. nilipojaribu kuiupdate kama walivyosema nikashindwa. mara nikajikuta nimekifuta kile kidude cha whatsapp. sasa kila nikijaribu kudownload nakwama maana hata password sikumbuki. MSAADA TAFADHALI WATAALAMU
 

Kuwa open unakwama nini sasa na password gani unaongelea?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…