Mr Kazembe
JF-Expert Member
- Mar 24, 2019
- 392
- 529
Mkuu nipe elimu ya kupata pesa kupitia Google Adsense.
Kuhusu kitambulisho cha kura kinakubalika mkuu cha msingi weka majina yako yote matatu but kinachoangaliwa sana ni jina la kwanza na la mwisho.
Angalizo: ukitumiwa pesa kupitia WU usithubutu kuchukulia benki ya posta. qaswida mix,
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye jina la kwanza liwekee na herufi ya jina la kati kati, mfano,WANA JINA LA KWANZA NA LA PILI NAANDIKAJE IO O
Mkuu tujuze kuna nini TPB maama wao ndio wanaofisi nyingi zenye WU nisine ingia mkengeMkuu nipe elimu ya kupata pesa kupitia Google Adsense.
Kuhusu kitambulisho cha kura kinakubalika mkuu cha msingi weka majina yako yote matatu but kinachoangaliwa sana ni jina la kwanza na la mwisho.
Angalizo: ukitumiwa pesa kupitia WU usithubutu kuchukulia benki ya posta. qaswida mix,
Sent using Jamii Forums mobile app
SHIDA WANATAKA MAJINA MAWILI WAKITUMA NAENDA KWA AGENT SIENDI POSTA