msaada kuhusu website

Je unawezekana kutengeneza social site yoyote from the scratch kwa kutumia dream weaver CS6? Kama jibu ni No program gani unarecomend?

Cc C6 chief-mkwawa Nyasiro

Yes you can. Adobe dreamweaver ni html and code editor software ambayo imetengenezwa mahususi wa matumizi ya kudesign websites and applications. Adobe dreamweaver ina support many languages kama vile ActionScript, C#, ASP, CSS, ColdFusion, EDML, XHTML, XML, XSLT, HTML, Java, Javascript, PHP, VB, VBScript na WML.
 

Mkuu naomba nikushukuru maana hatimaye nimemaliza hiyo project mpaka mwisho..
Kuna baadhi ya coz itabidi nikutafute unipige msasa kiaina
Asanteni pia wengine mlionisaidi kwa mawazo yenu
 
We unadhani nilikuwa naandikia m*t*** yako!!!!!! unachokiona ndicho nlichoandika kutoka moyoni mwangu sasa nashangaa we unaleta u**** hapa.

Mbona unawahia Matusi Kaka? Wewe kama mtalaamu ulitakiwa kumweleza jamaa kuwa Dreamweaver ni----- badala yake unamshauri atumie
'Programming Language PHP ambayo itaendana Pua na Mdomo na Mysql" kwa maelezo hayo unamaanisha Dreamweaver ni Programming Language lakini haiwezi kufanya anachokitaka. kwanza hata hiyo PHP siyo programming language unless ufafanue. Kwenye Technology tunashauliwa kuwa Straight, hivyo ulichokijibu hakimsaidii muuliza swali hata kidogo. Kama tu hajui nini maana ya Dreamweaver itakuwaje kuhusu ku-customize ready made App? Samahani lakini
 
kwanza hata hiyo PHP siyo programming language unless ufafanue.
Did I read it correctly?



PHP is a server scripting language, and is a powerful tool for making dynamic and interactive Web pages quickly.
- w3schools.com

PHP is a server-side scripting language designed for web development but also used as a general-purpose programming language.
-Wikipedia

PHP is an HTML-embedded scripting language. Much of its syntax is borrowed from C, Java and Perl with a couple of unique PHP-specific features thrown in. The goal of the language is to allow web developers to write dynamically generated pages quickly.
-PHP.net
 

Haya Chief Lugina sina muda wa kubisha na wewe. Samahani kwa maneno nliyoyatoa.
 

Huyo anayesema php sio programming language nadhani kwanza hajielewi. Kwanza nahisi hata hajui php inaRun katika mazingira gani
 
Hahaha. Nani aliyesema Php sio programing language????? We need to be careful in our posts. Ili tusipoteze wale wasiojua.

Can u Differentiate between Scripting Language and Programming Language? if u can then PHP siyo Programming language otherwise ni Programming language.
 
Can u Differentiate between Scripting Language and Programming Language? if u can then PHP siyo Programming language otherwise ni Programming language.

A scripting language or script language is a programming language that supports scripts, programs written for a special run-time environment that can interpret (rather than compile) and automate the execution of tasks which could alternatively be executed one-by-one by a human operator.

- Wikipedia

Scripting Language is a subset of programming languages, mainly high level. You cannot say Python, Ruby, Lua, PHP, Javascript...et al are not programming languages and still be serious.
 

Ahsante sana Mkuu nakuona kama vile unapiga lecture.. Thanks a lot. Hapo nadhani umetoa elimu 100% true.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…