msaada kuhusu website

Brodre

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2012
Posts
2,587
Reaction score
1,858
Je unawezekana kutengeneza social site yoyote from the scratch kwa kutumia dream weaver CS6? Kama jibu ni No program gani unarecomend?

Cc C6 chief-mkwawa Nyasiro
 
Last edited by a moderator:
Sijawahi kuitumia Dream Weaver sana lakini sina uhakika kama Dream Weaver itakusaidia sana. Nnachokushauri ni kutumia programming language PHP ambayo itaenda pua na mdomo na MySQL database. Kwa hiyo ni vema ukafamu PHP inavyofanya kazi na pia uelewe jinsi ya kutumia PHP ku-write to na ku-read kutoka kwenye MySQL database.

Ukishaelewa what is happening kwenye background kuhusu PHP na MySQl hapo sasa unaweza kutumia tools nyingine ambazo zitakuwa zinagenerate PHP na MySQL queries.

Kwa upande mwingine sikushauri uanze from scratch kwani utatumia muda mwingi. Search kwenye mtandao utakutana na ready to use content ambazo zipo customized.
 

Asante mkuu nina idea kuhusu mysql pamoja na php maana nimezisoma niliuliza maana niliona adobe dream weaver pia ina uwezo wa kuandika php. Siwezi tumia already made maana hii ni school project na instructor anahitaji tuidevelop from the scratch asante kwa mawazo yako
 
Kazi kweli kweli aisee,sijui kama ulichoandika ndiyo unamaanisha!
 

Kama hiyo ni project wape wenye kazi zao wale hela yao ndugu yangu.
 
Kama hiyo ni project wape wenye kazi zao wale hela yao ndugu yangu.

Lengo langu ni kujifunza sawa mkuu utaniambia vipi niwape watu hela? Am sorry to say this but nyie ndo wale mnaonaliza theory mko fit lakini practical mko hovyo kama kila project utataka ufanyiwe nje jifunze na badilika
 
Ndio inawezekana + wamp server

Zote ninazo mkuu sema kufanya settings kwenye dreamweaver ili iendane na wamp server ili niweze preview contents kwenye browser ndo imenishinda
 
Lengo langu ni kujifunza sawa mkuu utaniambia vipi niwape watu hela? Am sorry to say this but nyie ndo wale mnaonaliza theory mko fit lakini practical mko hovyo kama kila project utataka ufanyiwe nje jifunze na badilika

Samahani mheshimiwa sikukuelewa vema mwanzo. Kumbe unataka kujifunza? kama ni hivyo basi endelea utafanikiwa pitia pia kwenye google huko, mi nilidhani kuna school wanahitaji mtu adesign social network kwa ajili yao hivyo ulikuwa unamtafuta humu. Kama ni kujifunza tu endelea tu endelea mkuu.
 
Kwa kutumia Dreamweaver inawezekana kabisa lakini utapiga code hadi ushangae, yaani coding..coding..coding eehh!. na hapo ni PHP,JavaScript,HTML,Sql uijue vizuri,. Ila kama hutaki kuumiza kichwa ki hivyo cheza na WORDPRESS ukiweza wordpress ni mwendo wa Plugins tuu. Kuna plugin za Forum na nyingine nyingi. Pia ujue Social website sio kama website ya kawaida bali ni WEB Based System

Je unawezekana kutengeneza social site yoyote from the scratch kwa kutumia dream weaver CS6? Kama jibu ni No program gani unarecomend?

Cc C6 chief-mkwawa Nyasiro
 
Ndio inawezekana + wamp server

ni kweli ila WAMP server ataitumia kupitia Mysql Database yaani aijue Mysql Database kwa ujumla. kama anafahamu SQL commands, pamoja na Mysql database connection settings, WAMP server ataikuta kwenye server ya website
 

Pamoja mkuu
 
Dreamweaver ni kama Multimeter kwa Electrinic Engineer, Iron Mongeries kwa Civil Engineer au Softwares kwa IT wa mtaani 😉

Unahitaji ujue kazi ili kitendea kazi kikusaidie. Unahitaji kujua
1. HTML/CSS
2. Javascript
3. Server Side Language
4. Database Management System
5. Any SSL Framework (kurahisisha maisha)

Kama ukiwa na SN kubwa kama FB utahitaji part fulani utumie compiled language kama C/C++
 
Lengo langu ni kujifunza sawa mkuu utaniambia vipi niwape watu hela? Am sorry to say this but nyie ndo wale mnaonaliza theory mko fit lakini practical mko hovyo kama kila project utataka ufanyiwe nje jifunze na badilika

Kuna kozi hii inaanza Jtano (Kesho) unaweza kujoin ujifunze hii vitu Register hapa
 

Ndiyo maana mi naipenda wordpress na sitaiacha, ni plug & play na plugins tu full stop. Kwa upande huo ajaribu buddypress (buddypress imekuwa downloaded mara 1,794,269), dakika kadhaa tu ashakabidhi kazi yake.
 

upo right but nahisi unamis kitu kimoja kuhusu that program kama dream weaver
nikwamba using dream weaver ni sawa na kutumia tu php bt the difference is hauandiki direct bt code ambazo zinaandikwa in background is php
so ujinga wa kuzoea hzo dreamweaver is hutakaa kujua code kamwe
 
Stefano Mtangoo Habari za sahizi mkuu nimefanikiwa kwenye project yangu na sasa nina wind up lakini kuna kitu kinanitatiza mfano hapa jamii forums baada ya post kazaa unachagua kwenda next page ili uone zinazoendelea nikitaka hii kitu niweke kwenye site yangu ntafanyaje ili kupunguza page isiwe ndeefu. Natumia PHP
 
Last edited by a moderator:
Well Done!
Inaitwa pagination. Kuna article inakuja Kuhusu Pagination with Ajax, Jquery and PHP/MySQL. Nitakupa link nikiimaliza.

Meanwhile jisomee hapa na kama una tatizo uliza!

How to Paginate Data with PHP | Nettuts+
PHP Pagination
simple php pagination - Stack Overflow
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…