Wanaofika na visiting Visa , humtafuta demu wa hapa au wa nchi yeyote iliyopo Eu ...wanaona huko Kwao au Tanzania na Wana Rudi , ndio mchezo huo , demu wa Eu utampata hata huko bongo, wako kibao tu... na wakisikia unataka Kuwaowa, hawakuachi, bora tu uwe genuine na wasijue nia yako...kumbuka ukitaka kuoa ndani ya Uk , ni lazima uombe kibali cha home office na hutapewa ukiwa una visitors viza...
cha msingi sio kuomba visitors Visa , omba huko huko fiancé Visa itakayo kuruhusu ku- switch na ku extend kwenda categories nyingine...
Ofisini wamuandikie barua pale UBALOZINI itaongeza uzito kama ni NGO zile zinazogawa mafuta ya kuchimbana nnya toka huko kwao Ulaya. Waseme wanamtuma akayafate hayo mafuta kiwandani.