New Nytemare
JF-Expert Member
- Dec 15, 2011
- 3,400
- 2,572
Lbda nikuambie ni wengi wanaonyimwa visa za UK. Nadahni hata uki-apply tena kiharaka haraka utakosa tena. Hilo swala la ''hawana uhakika kama utarudi Bongo'' ndio issue kubwa. Hili unaweza kulionyesha kwa kuwa na kazi nzuri /biashara, ya uhakika na yenye kipato kizuri hapa Bongo, hivyo wanakuwa na uhakika kuwa huwezi kuviacha na ukazamia. Kuna issue nyingine kama kuwa na familia au mali kama nyumba nk. Najua jamaa wengi walio-apply kwa kigezo cha kwenda kutembea au graduation ya fulani na wakafelimsaada wadau
ni rafikiHuyo sponsor ulisema ni Nani wako?
nafanya kazi kwenye NGO ina program za UKIMWIUnajishughulisha na nn hapa nchini? Tuanzie hapo.
nitumie ujanja gani kiongozLbda nikuambie ni wengi wanaonyimwa visa za UK. Nadahni hata uki-apply tena kiharaka haraka utakosa tena. Hilo swala la ''hawana uhakika kama utarudi Bongo'' ndio issue kubwa. Hili unaweza kulionyesha kwa kuwa na kazi nzuri /biashara, ya uhakika na yenye kipato kizuri hapa Bongo, hivyo wanakuwa na uhakika kuwa huwezi kuviacha na ukazamia. Kuna issue nyingine kama kuwa na familia au mali kama nyumba nk. Najua jamaa wengi walio-apply kwa kigezo cha kwenda kutembea au graduation ya fulani na wakafeli
NGO ambayo unasita hata kuitaja jina hapa wacha wakunyime tu.nafanya kazi kwenye NGO ina program za UKIMWI
jina kutajwa hapa litasaidiaje yeye kupata visa?NGO ambayo unasita hata kuitaja jina hapa wacha wakunyime tu.
Una shughuli gani inayokuweka mjini?nitumie ujanja gani kiongoz
huyu ninaenda kumtembelea ni mpenzi wangu
Acha ngono zembe kijananafanya kazi kwenye NGO ina program za UKIMWI
Ofisini wamuandikie barua pale UBALOZINI itaongeza uzito kama ni NGO zile zinazogawa mafuta ya kuchimbana nnya toka huko kwao Ulaya. Waseme wanamtuma akayafate hayo mafuta kiwandani.jina kutajwa hapa litasaidiaje yeye kupata visa?
hahahahahOfisini wamuandikie barua pale UBALOZINI itaongeza uzito kama ni NGO zile zinazogawa mafuta ya kuchimbana nnya toka huko kwao Ulaya. Waseme wanamtuma akayafate hayo mafuta kiwandani.
Yaani kama ulijitambulisha hivyo ndo kabisaaaa!! Wanajua fika unaenda kuzamianitumie ujanja gani kiongoz
huyu ninaenda kumtembelea ni mpenzi wangu
sikujitambulisha ivo nliandika nimealikwa na friend wanguYaani kama ulijitambulisha hivyo ndo kabisaaaa!! Wanajua fika unaenda kuzamia
We andaa bank statement iliyoshiba hata ya kufoji...hati ya kiwanja n.ksikujitambulisha ivo nliandika nimealikwa na friend wangu
Nimeomba UK visit visa miezi 6 nimekosa kwasababu mbali mbali moja wapo ni kuwa hawana uhakika kama nitarudi tena bongo pia hakuna genuine relationship Kati ya mimi na sponsor, nataka kuomba tena naomba ushauri wenu wana JF kwa watu wenye experience ya UK visit visa.
maana nina rafiki yangu huko kaniarika niende..sasa sielewi nifanyaje ili nipate kiurahisi..
Usifurahie mwaliko. Wazungu hupenda kutest makalio toka afriksikujitambulisha ivo nliandika nimealikwa na friend wangu