Tafuta workstation isiwe toleo la zamani sana, au core i7 desktop kuanzia 3rd generation na kendelea, pia RAM za kutosha kama 16GB itapendeza bila kusahau SSD kama primary disk kwa ajili ya OS na hizo production softwares cha mwisho Graphics card ya wastani.Mi najishughulisha na mambo ya video editing hasa za sherehe za harusi , mikutano n.k.
Kwenye kutoa kazi iwe kwa file au ki burn DVD ndio shidaaa inakuwepo. Rendering inaweza kufika masaa 4 hata zaidi.
Naomba kujuzwa niongezee nini kwenye desktop yangu niweze ku burn fasta tu au nipate mashine yenye specs zipi. Mi nafumia Pinnacle 19, Adobe na Vegas.
Nawasilisha
Sawa mkuu budget yake kiasi gani kwa kukisia ukiweka na bei ya graphics nadhani graphics ya 2gb ram itatosha.Tafuta workstation isiwe toleo la zamani sana, au core i7 desktop kuanzia 3rd generation na kendelea, pia RAM za kutosha kama 16GB itapendeza bila kusahau SSD kama primary disk kwa ajili ya OS na hizo production softwares cha mwisho Graphics card ya wastani.
Kuhusu speed ya ku burn, DVD huwa writing speed zake sio kubwa nadhani zinaishia 16x kushuka chini tofauti na disc za kawaida. Jaribu kutafuta DVD writer yenye 16x speed ila kumbuka Blank DVDs lazima ziwe zina support hiyo speed.
Mcheki huyu kama bado ipo Computer inauzwa, CPU -high spec - JamiiForumsSawa mkuu budget yake kiasi gani kwa kukisia ukiweka na bei ya graphics nadhani graphics ya 2gb ram itatosha.
Tatizo sio hard disk, bali mnatumia computer zenye specs ndogo, computer yenye uwezo mdogo huathiri quality ya video wakati wa rendering.Pia jua kuwa wakati wa kurenda...sauti na picha harddisk writing ni tofauti.hivyo upelekea video na voice kupishana.any video editing computer inatakiwa iwe na hard disk 3. Ya OS,ya voice files na ya Video.
Nina uzoefu wa kuwasembo Editing Computers za Adobe na Final cut.
Quality inakuwa haina tatizo hapa tunazungumzia video ku rrnder kwa muda mrefu masaa 4 ukiset 1080 HD auvzaidi utakesha masaa 18 unatenderTatizo sio hard disk, bali mnatumia computer zenye specs ndogo, computer yenye uwezo mdogo huathiri quality ya video wakati wa rendering.
Pia jua kuwa wakati wa kurenda...sauti na picha harddisk writing ni tofauti.hivyo upelekea video na voice kupishana.any video editing computer inatakiwa iwe na hard disk 3. Ya OS,ya voice files na ya Video.
Nina uzoefu wa kuwasembo Editing Computers za Adobe na Final Cut.
Hallo software kama Motion na Livetype latest version zinapatikana
Bado unarudi palepale, real determinant ni RAM & CPU na pia kumbuka rendering ni CPU intensive.Quality inakuwa haina tatizo hapa tunazungumzia video ku rrnder kwa muda mrefu masaa 4 ukiset 1080 HD auvzaidi utakesha masaa 18 unatender