Shalom!
1. Awali ya yote nahitaji kufahamu kuhusu upimaji wa kiwanja Chenye ukubwa wa 250 *150 square meters kilichopo kijijini mkoani Mara wilaya ya butiama!
2. Gharama za upimaji wa kiwanja hicho
3. Uwezekano wa kujenga kiwanda kidogo cha fruit processing.
4. Makato ya serikali
Ni hayo tu!, karibuni kwa maoni /ushauri!