Kodi haina kubagua kwamba hii fedha ya mkopo hii si ya mkopo .
Pili kitendo cha kukadiriwa kodi inamaana bado unafanya biashara kwa mtindo chini kidogo, ushauri wangu tafuta mtu akutengenezee hesabu ili ulipe kodi stahiki. Ukiwa na mtaalamu atakuonesha loophole ya kupunguza kodi ambayo wengi hawaifahamu,uwe na wakati mzuri.
Wasalaaam