guide book nmeisoma vzr mpaka leo bado ninayo mkuu labda nilidhan kuna mabadlkoSoma guide book
Guide book ndiyo mwongozo wako.guide book nmeisoma vzr mpaka leo bado ninayo mkuu labda nilidhan kuna mabadlko
Guide book nmeisoma vzr mpaka leo bado ninayo mkuu labda nilidhan kuna mabadlko
hamna mkuu tatzo elimu ya bongo imebadilika kila mtu anakiamka anakuja na sheria yakeKwahiyo Hujiamini Kwa Kile Ulichokisoma Kwenye GuideBook au? Au Unaona Maneno Ya Vijiweni Ni Bora Kuliko Maandiko?
hamna mkuu tatzo elimu ya bongo imebadilika kila mtu anakiamka anakuja na sheria yake
sawa mkuuHata Hivyo Vijiweni na Mitandaoni Utayasikia Mengi!! Lakini Jihakikishie Kuwa Unaamini Kile Tu Kilichotangazwa Ndani Ya Mtandao Wa HESLB, TCU au Official Announcement Kutoka Kwenye Media.