Msaada kuhusu uchaguzi wa Godoro Bora

Tanform nzuri sana
 
Usilogwe ukanunua Comfy. Utajuta tena nakwambia utajuta. Nimelinunua ndani ya mwaka lipo vizuri lakini baada ya huo mwaka mmoja ni balaa tupu. Ukililalia ukiamka limeacha shimo yaani hata kama unaligeuzageuza kila wiki
 
Nilinunua QFL DODOMA mwaka 2006 niliumia mwaka m1 wa mwanzo maumivu ya kichwa na mgongo kila asubuh lakin sasa ni full burudaaan ya ajab. Bdo ninalo mpaka sasa hata hujui kama lina miaka 7. In QFL i trust. Nakushauri nunua la nchi 8.
 
spring matress ni nzuri ila mimi kwa zaidi ya mwaka mmoja sasa huwa nalala kwenye floor, naweka blanket chini naangusha nimegundua hii nainjoy zaid, huwa napanda kitandani siku nikitaka gemu!
 
spring matress ni nzuri ila mimi kwa zaidi ya mwaka mmoja sasa huwa nalala kwenye floor, naweka blanket chini naangusha nimegundua hii nainjoy zaid, huwa napanda kitandani siku nikitaka gemu!

Hahahahaha.
 
Tan foam, mi ukiniambia godoro huwa sifikirii kingine Zaid ya Tan foam
 
Usinunue godoro lolote la 10"..utajuta huwa hayana burudani ni bora la 8"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…