Zuia Sayayi
JF-Expert Member
- Mar 28, 2011
- 841
- 140
Tanform yanatengenezwa Arusha
kwann Tanform braza maana naskia yana wahi kuchoka
hlf kuna mtu kaniambia eti Banko ndo magodoro mazur je ni kweli?
Si kweli, la kwangu lina mwaka wa kumi na hata halijabadilisha ugumu wake wa asili usioumiza lakini.
Baada ya Tanform at least QFL Dodoma; Banco labda siku hizi wawe wameboresha, hapo katikati yalikuwa hayafai kabisa.
NB
Mimi si braza ni mother au sister!
nashukuru kwa msaada wako csta nitajtahid kuyatafuta, vp cost yake co xpensive?
nunua godoro dodoma asilia!!!
Jamani naomben msaada kuhusu ununuzi wa GODORO BORA, nimetoa kitanda changu kwa fundi juzi tu, sasa nataka kununua Godoro je ninunue GODORO gani zuri (na sababu zake) ambalo litadum maana nahofia kununua halafu baada ya muda lichakae na kuisha thamani Tusaidiane wadau nadhani,
naomben kila atakae fungua hii thread asiache kuacha coment yake please! nadhani imeeleweka!
Ulikuwa unalalia nini kabla?Jamani naomben msaada kuhusu ununuzi wa GODORO BORA, nimetoa kitanda changu kwa fundi juzi tu, sasa nataka kununua Godoro je ninunue GODORO gani zuri (na sababu zake) ambalo litadum maana nahofia kununua halafu baada ya muda lichakae na kuisha thamani Tusaidiane wadau nadhani,
naomben kila atakae fungua hii thread asiache kuacha coment yake please! nadhani imeeleweka!
kwann Tanform braza maana naskia yana wahi kuchoka
hlf kuna mtu kaniambia eti Banko ndo magodoro mazur je ni kweli?