Samahani wadau mimi nina samsung tv flat inch 32 series 4 2014, tatizo langu ni kwamba Je! nikitaka kutazama chanel zile za kulipia nitalazimika kununua king'amuzi? au ninaweza kulipia kutumia namba fulani iliopo kwenye hiyo TV?
Pili, nina tatizo la ku seti rangi ilinione vizuri maana nona kama picha hazing'ai vizuri tafadhali anayefahamu rangi nzuri naomaba anijuze kama contrast iwe ngapi?, Tnt ngapi? backlight iwe ngapi? picture iweje? ili niweze kuona picha vizuri kama jinsi ilivyo kwenye mfumo wa HD maana naamini TV hizi zipo katika mfumo wa HD.
Naomba kuwasilisha.