Kacharimbe
JF-Expert Member
- Apr 2, 2011
- 216
- 35
jenga karibu na sheli
Bonge la ndinga hili,tena injini zake mara nyingi ni vvti inayoifanya ile wese vzuri ingawa cc ni kubwa,jiweke mkuu,ndinga poa hilo,ngoja wataalam kama kina mkuu mshana jr waje wakushauri zaidi
Sasa Munawar kaingiaje hapa?

We si unataka kujua gari hizo?
Sasa Munawar ndio anaongoza kwa kuuza hizo aina za gari,sasa atakuambia faida na hasara zake.
Then wadau wengine tunaendelea kuchangia.
Wengie wanasema mafuta zinatumia vizuri,na zinapendwa saana na wasukuma.
Progress na Brevis ni sawa na Mbwa kumwita Jibwa,ni yale yale
Ila muundo Progress upo vizuri zaidi ya Brevis,maana Brevis nikiiona naona kama vile inarembua macho,aisee zile taa zake kama lipo kitandani duhh stim hadi kwenye gari?
Ha ha ha ha!!!. Asante sana mkuu. Ila nimeshaghairi maana nimegundua ni 6cylinder
Hahah,umechelewa kujua mkuu,mbona matoleo hayo ni six.
Unaweza kuchukua Carina TI itakufaa saana kama issue ni mafuta.Ila bei zake zipo juu pia
Hahah,umechelewa kujua mkuu,mbona matoleo hayo ni six.
Unaweza kuchukua Carina TI itakufaa saana kama issue ni mafuta.Ila bei zake zipo juu pia
Issue ya fuel siyo sana. Nahitaji confortability na durability. Unless kama ni excessive fuel consumption
Zote ni nzuri kwa hizo mishe. Ila Vits RS ina faida zaidi kutokana na ukubwa wa injini yake (cc 1290) kama sikosei. Hivyo unaweza pia kuitumia katika safari zako bila hofu.Mwenye uzoefu na Toyota vitz RS na vitz cc990 ipi ni nzuri kwa mishe za town