Kacharimbe
JF-Expert Member
- Apr 2, 2011
- 216
- 35
Hiyo noah yako inatumia lita moja ya petroli kwa km ngapi?
nadia haina tofauti na noah ulaji wa mafta sawasaw alafu m sikushauri uchukue nadia ni vmeo zikianza kusumbua yan unaweza kuumia kichwa na stress za maisha ztakushka haraka we uon mwenzako anataka akupe akuongeze na pesa anajua yaliyomtokea na ni siri yake
me natumia toyota corona premio,nna mwaka nayo sasa cjaona ubaya wake na consuption iko poa,ni nzuri ya injini ndogo isiwe D-4,utaenjoy mkuu!
Ni kweli mkuu. Na mimi ndo maana niko makini sana. Baada ya kupitia thread mbalimbali humu jf na ushauri wa jamaa mbalimbali nime shortlist gari tano ambazo ni Yoyota Starlet, toyota platz, Toyota corolla, Toyota Premio na Toyota corona Premio. Nataraji nimwambie anitafutie gari moja wapo kati ya hizo. Bahati mbaya sijapata habari kamili kuhusu toyota corolla na premio/ corona premio. Naomba mwenye ufahamu zaidi anijuze
Platz inashare platform na vitz au yaris. ni gari isiyo na sura nzuri lakini ni imara na si kama ulivyoambiwa na wengine. engine pia ni ya vitz. hata dash board yake ni ya vitz pia. magari ya toyota ni imara na yanatengenezeka. kwa dunia ya sasa platz ni bora kuliko starlet na hayo premio, nadia, na mengineyo. kwani premio au nadia kama ina injini ndogo ni cc 1800 na starlet ni cc 1300. na ujue kuwa vitz ndo imechukua nafasi ya starlet baada ya kufunga production ya starlet ndo wakaja na vitz na platz wa watu wasiopenda hatch back desines. hizo zingine huwezi fananisha na platz au vitz ambayo km 20 ni lt 1. na ukipata vitz ya kuanzia 2008 yenye injini cc 1300 inakunywa lt 1 km 26. pia zipo trims nyingi sana kuanzia cc 1000 hadi 1800 nawameimprove fuel consumption kwa kiasi kikubwa. so, nakushauri uchague platz.
Nimekusoma vizuri mkuu. Platz naipenda sema nilikuwa siijui kiundani. Umenifumbua macho. Mimi siangalii shape, naangalia efficiency & economy
mkuu umejaribu corolla fielder au carina ti? Hizo vp?
mkuu starlet au baby walker(vitz) ndio mpango mzima.. yani watu wakiingia kituo cha mafuta we unapita tu, mi gari yangu nimeisusa siku hizi navinjari na baby walker ya mama!
kanaweza kupiga masafa angalau mara mbili kuingia vijijini kuwaona akina bibi?