Msaada kuhusu tovuti ya bodi ya mikopo

mnyuke

Member
Mar 8, 2017
19
2
Wakuu naombeni msaada kuhusu bodi ya mikopo,inafunguliwa lini kwa sababu watahiniwa wa kidato cha sita wanasubiri ili waanzake kutuma maombi.MSAADA TAFADHALI
 
subir kwa maana hawana muda rasmi sijui kwa mwaka jana ilikuwaje,ila kwa form six 2015 walifungua mapema san,ata kabl ya mitihani yao kuisha applications zilianza.so tumia muda wako mwing kufatilia vyombo vya habari na tovuti ya bodi ambyo ni www.heslb.go.tz
 
Mwaka huu application za chuo zinaanza then ndio zinafuata za mkopo... za chuo july mwishoni mkopo september







Ni Tetesi zenye uhakika
 
IMG_20170523_161354_613.JPG
 
Ungejua hizo fomu za mikopo ungeziogopa zaidi ya ukoma au HIV, ulitakiwa uzikimbie kabsa dogo!
 
Back
Top Bottom