Msaada kuhusu tin number kwa ajili ya biashara

mswele

JF-Expert Member
Dec 18, 2014
687
414
Wakuu naombeni kufahamishwa kuhusu tin number mm nataka kufungua biashara na sina tin number je nikienda tra kufatilia sitochajiwa hela?au kukadiriwa kabla sijaanza biashara?ahsanteni
 
pesa lazima kwanza passport size 2 hizo pesa itakutoka photocopy ya kitambulisho na utaulizwa unataka kufanya biashara gani makadilio kwa mwaka yanaanzia 25000 lazima ulipe ndo upate hiyo TIN
 
pesa lazima kwanza passport size 2 hizo pesa itakutoka photocopy ya kitambulisho na utaulizwa unataka kufanya biashara gani makadilio kwa mwaka yanaanzia 25000 lazima ulipe ndo upate hiyo TIN

Mkuu utakadiriwaje wakati hujaanza hata kuingiza faida?kuhusu pasport size na photocopy hilo halina tatizo jambo nililotaka kulijua ni hilo kuwa utaambiwa ulipe makadirio b4 sijapewa tin number?
 
Wakuu naombeni kufahamishwa kuhusu tin number mm nataka kufungua biashara na sina tin number je nikienda tra kufatilia sitochajiwa hela?au kukadiriwa kabla sijaanza biashara?ahsanteni

Mkuu nenda TRA watakuuliza aina ya biashara na site yako tin no utapatiwa bure kabisa ila kwenye makadilio komaa nao ndo watakupa muda wa kuja kurudi baadae.
 
Mkuu nenda TRA watakuuliza aina ya biashara na site yako tin no utapatiwa bure kabisa ila kwenye makadilio komaa nao ndo watakupa muda wa kuja kurudi baadae.

Manake nimekwenda nimejaza form sasa nlivomaliza nkambiwa niende upande wa tax nkapeleke nkafika nikaulizwa hilo duka liko maeneo gan nikamjibu akaniambia anaehusika hayupo njoo jumatatu ndo nikaanza kuogopa kwann ameanza kuniulizia kuhusu duka wanataka kuja kuangalia wanikadirie au vp
 
Lkn kwann bongo tunaumizana hivi?hivi kweli mtu anaetaka kuanza kujitegemea ataweza kulipa kodi kabla hajaanza biashara?si kurudishana nyuma huku?je km biashara haijukubalika ina maana wao washakula tayari
 
Hivi kipi kianze....
Biashara kisha tin au tin kisha biashara
 
Uko Mkoa gani? Maana hapa Dar TIN inatolewa bure na picha unapigwa bure.
 
Uko Mkoa gani? Maana hapa Dar TIN inatolewa bure na picha unapigwa bure.

Nafahamu kuwa tin number ni bure lkn hyo tin number ukitaka kufungulia biashara ndo kuna process za kujaza form yao uandike namba ya simu biashara gani duka sehemu gani nikaogopa kuja kuambiwa unalipia kwanza makadirio cz hzo process zao hamna haja ya maswali mengi ikiwa washajua biashara ninayoifungua na ndo mara ya kwanza na istoshe tin yangu ikishaingizwa kwny system yao wataweza kunitrack nafanya biashara ngapi hlf nlishawahi kuskia skia kuwa wanakwambia ulipe makadirio kabla hujaanza biashara
 
Tatizo nchi yetu hii mungu atusaidie utakuta mtu alipata shida sana baada ya kumaliza masomo na kupata kazi bc huruma na wenzake au angalau kukumbuka maisha aliyopitia na kuhurumia wenzake hilo hamna so ukienda kichwa kichwa bila ya kufahamishwa na mwenzako ukifika kule ukiwa unauliza maswali ukagundulika hujui kitu unaweza kuingizwa mkenge hta ukija ukakurupushwa ukifika futi laki moja unarukwa
 
tin number ni bure, mkoa wowote ule, tatizo ni maelezo ya muombaji ndo yanayoweza kuleta tofauti. ukijieleza kuwa biashara umekwisha ianza, watataka ulipie kodi au ukadiriwe kwanza, ukijieleza kuwa unaomba TIN ili ufatilie leseni ya biashara kama ilivyo kwa biashara fulani fulani kuwa huwezi pewa leseni hadi uwe na tin, hautaambiwa kulipa wala kukadiriwa kwanza. manake ukikadiriwa ukashindwa kupata leseni, na hivyo biashara isianze? hivyo maelezo yako ndo yataamua hatima yako,
 
Tatizo nchi yetu hii mungu atusaidie utakuta mtu alipata shida sana baada ya kumaliza masomo na kupata kazi bc huruma na wenzake au angalau kukumbuka maisha aliyopitia na kuhurumia wenzake hilo hamna so ukienda kichwa kichwa bila ya kufahamishwa na mwenzako ukifika kule ukiwa unauliza maswali ukagundulika hujui kitu unaweza kuingizwa mkenge hta ukija ukakurupushwa ukifika futi laki moja unarukwa
umeshalipa kodi uliyokadiriwa?
 
me nilienda t.r.a wakaniambia kama biashara mpya kodi yake ni lakitatu na elfu kumi na nane (318000) bilakujali una mtaji gani hivi ni kweli
 
INATEGEMEA NA MTAJI AU AINA YA BIASHARA, KUNA BIASHARA UKITAJA HAKUNA NAMNA ITAFANYIKA BILA KUWA NA MTAJI WA NGUVU eg Kampuni zqa Ujenzi au kampuni ya uchimbaji mafuta.
 
Back
Top Bottom