Msaada kuhusu terrarium Tv app

Msaada kuhusu terrarium Tv app

Kabelwa

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2015
Posts
684
Reaction score
201
Wadau mnaotumia hii app ya kuangalia movies ya terrarium TV, ninaomba kuuliza ni option gani ambazo hazitumii bando sana na mfano ukifungua movie unakutana na HD-publifilm(streamango) 393 mb, je!hii inamaana ni mb utakazotumia!
 
Back
Top Bottom