Msaada kuhusu tatizo la polyhydromias

jukiha

Member
Jan 9, 2017
72
27
Habarini wapendwa

Nitafurahi endapo nitapata msaada kutoka kwa madoctor na wengine wenye ujuzi kuhusu tatizo la polyhydmias kwa mama wajazito , kwamba tatizo linatokana na nini ?na je tatizo linaweza kujirudia ? na kama ndio ni njia zipi za kufuata ili tatizo lisijirudie

Ushauri wenu Ni muhim sana
Asanteni
 
Je mama ana tatizo la moyo au figo? tuanzie hapo kwanza. Pili hili ni tatizo la ujauzito na sio zuri kwa afya ya mtoto ajaye...
 
Pole sana mkuu polyhydromnias ni hali ambayo maji anayoogelea mtoto tumboni kwa mama yanapita kiasi cha Lita 2 na kuendelea ,hii ina sababu nyingi lkn za muhimu ni kama kutakuwa na ukinzani wa normal physiology ya kiumbe na Hayo maji ktk hali ya kawaida mtoto anakunywa hayo maji then anayatoa kama mkojo mpk wakati wa kujifungua sasa km kwa aina yeyote ili tendo litakwama hayo maji yatajaa mara nyingi hali hii inaashiria matatizo kwenye maumbile ya mtoto kutoka mdomoni mpk tumboni na kwenye figo za mtoto sababu nyingine ni km mama ana kisukari ,pressure ya uzazi,conditions km Anecephaly na Hydro fetalis pia sometime kwenye mimba za mapacha ,Mama mara nyingi anakuwa ugumu kwenye kupumua ,uchovu Mkubwa na moyo unaenda mbio,matibabu inategemea na hali ya mama mara nyingi huwa hawafiki mwisho uchungu unaanza mapema kutokana na presha ya maji tumboni,km mama yuko distressed na yuko mwishoni anaweza akaanzishiwa uchungu,sometimes maji yanaweza kupunguzwa kumpa relief huyu mama all in all tafuta mtaalamu wa Afya ya akina mama kwa Msaada zaidi!
 
Nashukuru sana mkuu kwa somo
 
Habarini wapendwa

Nitafurahi endapo nitapata msaada kutoka kwa madoctor na wengine wenye ujuzi kuhusu tatizo la polyhydmias kwa mama wajazito , kwamba tatizo linatokana na nini ?na je tatizo linaweza kujirudia ? na kama ndio ni njia zipi za kufuata ili tatizo lisijirudie

Ushauri wenu Ni muhim sana
Asanteni
90%cause unknown 10%associeted with mapungufu ya mtoto mwenyewe kimaumbile hasa njia ya mkojo na ya chakula.siyo lazima ijirudie.tiba muone daktari.
 
Asante kwa ushauri ila nina swali hapo mana Nina nddugu yangu alipata uchungu na kujifungua pacha na mimba ilikuwa miez mitano Sasa hapo watoto wote walikuwa na tatizo au inakuwaje hapo mkuu
 
Hatujifungui miezi mitano hiyo ni mimba iliyoharibika.na sababu ni kama za kule mwanzo but mostly chromosomal disorders.
 
Back
Top Bottom