Nina mdogo wangu anasumbuliwa na flue kila siku, mpaka anatilisha huruma. Yani alikua hamalizi wiki. lakini hivi sasa imekua too much kabisa. yani ni mwezi mzima nonstop. leo akiwa afadhali siku ya pili yamemuangusha.
Anywe juice ya limao glass 1 asubuhi na moja jioni kwa siku 3 ikiwa yataendelea akamuone daktari WA BINGWA WA KOO,PUA NA MASIKIO ktk hospitali za serikali za mkoa au wilaya