Upo pande zipi?Habari za majukumu wanajamii,, wanajamvi nina mtu wangu wa karibu anatumia simu ya android Tecno y4,, ina wiki sasa imegoma kuwaka kikamilifu yaani ukitoa betri kisha uiwashe inaganda kwenye maneno ya EXPIRIENCE SMARTLIFE NOW hata neno tecno haliji,, tumejaribu njia nyingi kusolve hilo tatizo lakin imeshindikana, mfano tumetoa betri na kuirudisha kisha kuiweka kwenye chaji kwa masaa nane kisha kuiwasha lkn mambo ni yaleyale,, tumejaribu kutoa betri na kubonyeza kitufe cha kuwashia simu kwa sekunde kadhaa kisha kurudisha betri na kuiwasha lakini hatukufanikiwa, tumejaribu kubonyeza vitufe vyote vitatu kwa wakati mmoja yaani kitufe cha kuwashia, kuongezea sauti na kupunguzia sauti lakini hatukufanikiwa kubwa kabisa tumeenda kwa fundi kuiflash lakini pia htujafanikiwa..... hivyo naombeni saada wanajukwaa juu ya nama ya kutatua tatizo hili..nifanyenini ili simu iwake..... ahsanteni
Ipeleke care Center Mkuu.Upo pande zipi?
Upo pande zipi?
Tafuta pc i can help you ukafanya mwenyewnipo morogoro mjini
Tafuta pc i can help you ukafanya mwenyew
Ngoja ajaribu kwanza... Pia isiposoma lain it is possible kufix ikasoma tena.Kaka, hiyo 'sini' ameshaiflash? Nadhani hata ikikubali kuwaka, kusoma line itakuwa haiwezekani tena!!
Download program inaitwa teamviwer kisha installpc ninanayo mkuu,, naomba unielekeze nini cha kufanya na hii pc
vip kuhusu h6 inawasha data km kawa ila ukiingia playstore inagoma na page inapotea...nipo dar.msaada tafadhaliDownload program inaitwa teamviwer kisha install
Kisha download firmware yako hapa
Google Drive - Virus scan warning
Kisha rudi jukwaan tuendelee
Kaka na mimi yangu ina hilo tatizo na nimeitunza naomba nami nisaidie juu ya hilo ni tecno pad 7c msaada pleaseDownload program inaitwa teamviwer kisha install
Kisha download firmware yako hapa
Google Drive - Virus scan warning
Kisha rudi jukwaan tuendelee
Una pc?Kaka na mimi yangu ina hilo tatizo na nimeitunza naomba nami nisaidie juu ya hilo ni tecno pad 7c msaada please
Ndio ninayoUna pc?
Download hii program kweny pc yako kisha install... TeamViewer 11.0.63017Ndio ninayo
Kaka tayari nmeshamaliza kudownload teamviwer na hiyo firmwareDownload program inaitwa teamviwer kisha install
Kisha download firmware yako hapa
Google Drive - Virus scan warning
Kisha rudi jukwaan tuendelee
Nipm nikupe namba yangu tuanze hyo kazKaka tayari nmeshamaliza kudownload teamviwer na hiyo firmware
Kaka jana sikuweza kuzidownload hiyo shughuli nimekamilisha leo kila kitu kiko tayari msaada wako sasa nifanyejeDownload hii program kweny pc yako kisha install... TeamViewer 11.0.63017
Kisha pakua firmwares hapa Google Drive - Virus scan warning
Ukimalza nipm