Msaada kuhusu Suzuki swift

Byanjweri

Member
Jul 12, 2013
80
7
Naomba kujua gharama za kuagiza nje gari aina ya suzuki swift, pamoja na upatikanaji wa spea zake.
 
Ingia website ya TRA calculate ingiza data za gari utapata gharama za kodi zote unazotakiwa kulipa
 
spare is not a problem,the world is a small village.about importing price do as above commentor said.visit tra web.
 
Spare za suzuki swift hauna haja ya kuagiza nje (labda kama unapenda kufanya ivo)
Opposite na Romno green view hotel shekilango kuna duka kwa ajili ya suzuki tu
 
Back
Top Bottom