Msaada kuhusu SQL & PHP

hapo unatakiwa uziunganishe hizo Tables zako kwa SQL query ndio itakua umefanya hiyo relation

Syntax:

$sql="SELECT (fields you want) " .

"FROM Table, Table2, Table3 WHERE (here specify the condition)" ;

Note:

Kuna njia nyingi za kujoin hizo tables zako cha msingi ucheze na Primary key na foreign key
 
unaweza nisaidia hzo njia nyingione
 
na je engine inakaz gani kwenye sql
kazi ya mysql engines au storage engines ni handlers kwa tables za aina tofauti. kwaiyo storage engines zina act kama handlers kwa tables za aina tofauti tofauti.
Mysql storage engines ina includes zote ambazo zina handle transaction-safe tables na zinazo handle nontransaction-safe tables.

nontransaction-safe tables ni:

MyISAM: ambayo inatoa high-speed storage na retrival, pia ina toa fulltext searching capabilities.

transaction-safe tables
InnoDB and BDB storage engines: ambayo inatoa transaction-safe tables.ili ku maintain data integrity.
 
Thanks
thanks
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…