habari zenu wana JF!!!!!
kuna mdogo wangu kapangwa songe sekondari kuendelea na kidato cha tano sasa tatizo sijui hii shule ilipo pia ubora wake!!!!
kwa wale wanaoifaham shule hii naombeni mnijuze au kama kuna aliyewahi kusoma katika hiyo shule naomba msaada wako!
natanguliza shukrani!!
Ni msichana au mvulana?
Kuna Songea boys na Songea girls. Zote ni shule za serikali na ni za siku nyingi. Songea girls ipo mjini zaidi na boys ipo kama km 4 hivi toka mjini, lakini bado ni mjini mjini.Ubora, nakushauri utembelee matokeo yao ya kidato cha sita miaka ya nyuma.
Ni msichana au mvulana?
Kuna Songea boys na Songea girls. Zote ni shule za serikali na ni za siku nyingi. Songea girls ipo mjini zaidi na boys ipo kama km 4 hivi toka mjini, lakini bado ni mjini mjini.Ubora, nakushauri utembelee matokeo yao ya kidato cha sita miaka ya nyuma.
ni msichana na sio songea girls mpendwa ni songe sekondari ndo maana inanimix ht nikijaribu kuigogle siioni![/QUOTE]
Teh teh, mwanangu umenifanya nicheke bila kupenda, una google jina la shule ya sekondari Tanzania, tena ya serikali! labda hadi mtakaponichagua mm kuwa Rahisi!
naona hata A level matokeo yake sio mabayaKuna mdo wangu alimaliza hapo miaka ya tisini ilikuwa shule nzuri kipindi hicho. Ila ilikuwa na O'level tu najuwa. Ndo baadaye wakaibadili kuwa na highschool kwa girls. Kwa sasa sijui kama ina walimu wazuri maana nakumbuka mdogo wangu alipata DV 1 ya 12 alipomaliza form four hapo shuleni. Kwa high school sijui kwakweli na ni mdada sasa yawezekana kuna mabadiliko pia ya walimu. Ipo karibu na Musoma Secondary ile yenye high school ya boys.
nashukuru kitongoli kumbe bado changa!!ndo maana ht haijulikani
Kama bado upo Musoma nisaidie, Mwanangu kapangwa Songe Sekondari nahitaji kupata mawasiliano ya simu ya hapo shuleni pia kufahamu mazingira na taaluma mwisho namna ya kupata Joining Instruction Form. Natanguliza shukrani.msibishane niulizeni mimi ndo mwenyeji musoma nipeni iyo deal ntaleta mpaka number ya mlinzi...