Ulipata msaada?nipo mkoa wa Mara, nina shida moja, natumia sunder solar watt 100, bettry ya sunder N 100, INVETER ya Solar Max watt 150, pia nina flt tv inch 32 yenye watt 50, 110-240v,, nina blender watt 350, subfer seapeano v 220-2240, na taa 3 watt5, shida ninkwamba moto unaisha haraka sana,nikiwasha tv tu inveter inasoma v100, tv inazma na pia bettry ikiwa full nikiwasha tv tu charge controller inasoma 25% kisha inveter inafel na tv inazima, msaada hapo nifanyeje
Ufumbuzi ulikuwaje...nataka kuweka umeme wa solar ila sizifamu product nzuri ni za kampuni gani
Nlikua na sunder watt 100 zipo vizuri betri nlkua na chloride solar betry