daraja la kigamboni
JF-Expert Member
- Apr 28, 2016
- 3,355
- 3,248
Asante kwa ufafanuziHizi TV kama ni mpenzi wa kuangali TV shows/movies kwa huduma za kulipia kama Netflix, HBO, Hulu, etc hapo ndio nyumbani kwake, ila kama unataka kuiongezea uwezo simu yako ipate Android tafuta TV box za Android, uta download app yoyote ile kutoka play store au source nyingine. Mfano Kodi, Azam, Startimes, Mobdro, etc.TCL ni nzuri sema zinatumia Linux OS ambayo hauwezi kuweka Apps kama kwenye Android. Android Box itaifanya TV yako kuwa ya kisasa zaidi.
View attachment 1011438View attachment 1011439View attachment 1011440View attachment 1011441
tv box ni bei gan mkuu?Hizi TV kama ni mpenzi wa kuangali TV shows/movies kwa huduma za kulipia kama Netflix, HBO, Hulu, etc hapo ndio nyumbani kwake, ila kama unataka kuiongezea uwezo simu yako ipate Android tafuta TV box za Android, uta download app yoyote ile kutoka play store au source nyingine. Mfano Kodi, Azam, Startimes, Mobdro, etc.TCL ni nzuri sema zinatumia Linux OS ambayo hauwezi kuweka Apps kama kwenye Android. Android Box itaifanya TV yako kuwa ya kisasa zaidi.
View attachment 1011438View attachment 1011439View attachment 1011440View attachment 1011441
Tofauti kubwa ni kwamba smart inauwezo wa kuingia internet, za kawaida haina uwezoNimenunua smart TV aina ya TCL 32"
Hapo kabla nilidhani smart TV zina android os ambayo naweza download application kama azam app ili niweze kuangalia TPL,lakini sijaona uwezekano huo.
Kwa ujumla sijaona tofauti kubwa na hizi za kawaida.
Je kuna matumizi mengine ambayo labda sijagundua?
Exactly, watu wengi wanafanya hivo, ananua TV yake ya Samsung au LG ya kawaida then unainunulia Android Box.Asante kwa ufafanuzi
Kumbe bora ningenunua tv ya kawaida tu halafu nikanunua na hiyo tv box
Kwa hapa TZ zipo hata za laki moja, but quality yake inakuwa sio nzuri. Hio niliyoweka hapo unaweza hata kucheza games bila shida, mm nilinunua online.tv box ni bei gan mkuu?
uliiagiza kwa bei ganiKwa hapa TZ zipo hata za laki moja, but quality yake inakuwa sio nzuri. Hio niliyoweka hapo unaweza hata kucheza games bila shida, mm nilinunua online.
Hii beelink Laki na sabini elfu . Pia kuna Mi Box s nayo ni nzuri pia.uliiagiza kwa bei gani
thanxHii beelink Laki na sabini elfu . Pia kuna Mi Box s nayo ni nzuri pia.
View attachment 1011582
View attachment 1011585
Mkuu wala hautajuta kuchukua hiyo tv huduma za kulipia ndio zinawashinda wengiAsante kwa ufafanuzi
Kumbe bora ningenunua tv ya kawaida tu halafu nikanunua na hiyo tv box
DVB-T2 ipo hata kwenye TV ambazo sio smart, nadhani yeye lengo lake kubwa ni kupata channels zinazo onyesha kandanda.Mkuu wala hautajuta kuchukua hiyo tv huduma za kulipia ndio zinawashinda wengi
Ila hapo unapata chaneli za ndani free kwa kutumia antenna tu bila kulipia king'amuzi chako kama unacho
Utapata STAR TV , I T V, E A T V, UHAI TV, AGAPE TV T B C ,
Pia unaweza kusikiliza radio kupitia hizo chanel star tv=kiss fm na radio free, itv=radio one,eatv=east africa radio
Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi kwa tuliopo kijijini tunaweza kupata hizo channel kwa kutumia dish?Mkuu wala hautajuta kuchukua hiyo tv huduma za kulipia ndio zinawashinda wengi
Ila hapo unapata chaneli za ndani free kwa kutumia antenna tu bila kulipia king'amuzi chako kama unacho
Utapata STAR TV , I T V, E A T V, UHAI TV, AGAPE TV T B C ,
Pia unaweza kusikiliza radio kupitia hizo chanel star tv=kiss fm na radio free, itv=radio one,eatv=east africa radio
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa madishi yale ya futi sita unapata chanel zaidi ya hizi na pia ukipata fundi mzuri anakuelekeza receiver nzuri na lnb unaweza kufunga zaidi ya moja hapo uta enjoy sana dishi lakoVipi kwa tuliopo kijijini tunaweza kupata hizo channel kwa kutumia dish?
Vipi kuhusu data? Gharama si kubwa?Kwa hapa TZ zipo hata za laki moja, but quality yake inakuwa sio nzuri. Hio niliyoweka hapo unaweza hata kucheza games bila shida, mm nilinunua online.
1. Unaweza ukaweka miracast ama wifi direct ama technology inayofanania na ukatumia simu yako ku cast app ya azam ama kitu chochote toka kwenye simu na ukaona kwenye tv.Nimenunua smart TV aina ya TCL 32"
Hapo kabla nilidhani smart TV zina android os ambayo naweza download application kama azam app ili niweze kuangalia TPL,lakini sijaona uwezekano huo.
Kwa ujumla sijaona tofauti kubwa na hizi za kawaida.
Je kuna matumizi mengine ambayo labda sijagundua?
Asante sana nimegain kitu1. Unaweza ukaweka miracast ama wifi direct ama technology inayofanania na ukatumia simu yako ku cast app ya azam ama kitu chochote toka kwenye simu na ukaona kwenye tv.
Mara nyingi technology hii huja na tv
2. Tafuta app inayoplay url direct, naamini tv yako haikosi, then unaweza ku extract url yoyote ya live tv na kuplay.
Hope tv yako ni kama hii video

Vipi kuhusu data? Gharama si kubwa?