Msaada kuhusu simu yangu ya Oppo

Msaada kuhusu simu yangu ya Oppo

RAJ SIMBA

Member
Joined
Apr 26, 2020
Posts
15
Reaction score
9
Naombeni kunijuza izo picha mbili chini ni tofauti lakini zinatoa information ya kitu 1 yan ni hivi ninasimu ya Oppo A 83 ambayo storage ya ndani inaonesha 128GB ram6 lakini ukiingia gsmrena ukiangalia specification inaonesha tolrola simu iyo mwisho storage 64GB kama pichaya1 apo chini inavyo onesha.

Sasa nashindwa kuelewa hii inakuaje naombe ufafanuzi wataalam.

Screenshot_2023-04-09-23-48-44-49.png
Screenshot_2023-04-09-17-27-22-46.png
 
Kuna vitu viwili hapo:-
1- Labda hao Gsmarena walichelewa ku-upgrade hilo toleo la simu aina yako kwenye website yao au huenda wana matoleo mawili tofauti..moja ni hilo lako na lingine ni hilo uliloliona

2-Simu yako ni mojawapo ya yale matoleo ambayo si sahihi (Copy/Fake one)

Nimejaribu kuwaza tu Kiongozi..Pole ila puuzia mambo madogo kama hayo usiruhusu yakautafuna Ubongo wako
 
Back
Top Bottom