mwenyewe joseph Senior Member Joined Nov 1, 2016 Posts 104 Reaction score 25 Dec 19, 2016 #1 Jaman naombeni msaada anayejua shule nzuri ya serikali ya wasichana olevel iwe ya boarding mkoa wowote ilmradi iwe nzury kitaaluma Thanks!!!!!
Jaman naombeni msaada anayejua shule nzuri ya serikali ya wasichana olevel iwe ya boarding mkoa wowote ilmradi iwe nzury kitaaluma Thanks!!!!!
ndechaki Member Joined Oct 27, 2015 Posts 5 Reaction score 1 Dec 19, 2016 #2 shule ya serikali??? ya wasichana?? afu nzuri?? unadhani gari inaweza kupita kwenye uchororo??