Msaada kuhusu shirika la bima NIC

Msaada kuhusu shirika la bima NIC

matubara

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2012
Posts
226
Reaction score
90
Wadau mimi ni mtumishi wa serikali na nilikata bima ya miaka 9 na NIC.Bima yangu ilishaiva tangu August mwaka jana na sasa ni miezi 10 hawa jamaa hawanilipi hela yangu! Kila nikienda kwenye ofisi zao naambiwa njoo wiki ijayo. Je ni hatua gani naweza kuwachukulia haawa jamaa?
Asanteni
 
Umeshalipwa Mkuu?
 
Vp mkuu walikulipa
 
Back
Top Bottom