habari wadau
1.Naomba msaada kuhusu fully funded scholarship zitolewazo sehemu mbalimbali dunia
2.Jinsi ya kuomba hizo scholarships
3.website mahsusi za scholarships
Nisubiri nakuja na majibu ila jiandae kusema umesomea fani gani na una ufaulu gani, maana scholarship zinatolewa kutokana na priority ya dunia, ufaulu, uduni wa kiuchumi, kipaji binafsi.