Msaada kuhusu "SAVERANCE"

lushalila

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2015
Posts
282
Reaction score
109
Naomba kuuliza wenye kujua hii kitu SAVERANCE kwenye sheria ya ajira anastahili kupewa mtu mwenye sifa gani?
Ninavyojua kwa mtu mwenye mkataba anapomaliza anastahili kupewa, sasa je kama mwajiri hajakupa ufanyeje ili upate hakiyako hiyo?
Ahsanteni
 
Severance au severance?
Nenda jukwaa la sheria utapata majibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…