Nmekupata mkuu, kuna jamaa angu kaichukua juzi, nmeicheki kweli changamoto ya hiyo msg app nmeiona, kweli ni single line, swali nlilojiuliza ni kwamba sijaona Microsoft apps, nliwahi kutumia Samsung J5(2016) na saiv natumia A50, zote zilikuwa pre installed hizo apps, mbona hii S8+ haina?