Msaada kuhusu reseater

Mimi ni mtahiniwa wa kidato cha nne mwaka juzi naomba ushauri coz nataka ku reseater

Kuwa specific! unahitaji ushauri gani? humu kuna watu wa kila aina, kuomba tu ushauri haijitoshelezi. Kama ni ushauri tu wa kurudia basi tunakutakia mafanikio mema, jiandae tu vya kutosha ili upate credit zako zote na usije ukarudia makosa uliyoyafanya huko nyuma.
Kinachowatesa reseaters wengi ni overconfidence! wanajiandaa zinapobakia wiki mbili kufanya mtihani! kinachowakuta ni siri yao.
 
Mimi ni mtahiniwa wa kidato cha nne mwaka juzi naomba ushauri coz nataka ku reseater
Na mimi jamani nataka kureseat.. chemistry pekee mwaka huu licha ya kuwa mwaka 2009 nilipokuwa Form 4..siku ifanya nataka kuchukua CBG advanced level..biology nilikuwa na C...ila geography nilikua na D...vp jaman.Chemistry kwa huu muda naweza fanya vizuri kwel?
 
Sidhani kama inawezekana kurisiti kemia pekee,nilisikia kwa sasa kurisiti ni masomo yote
 
Back
Top Bottom