Hi GT, nimekwama ktk kununua dekoda sahihi kwani zimekua nyingi na kila 1 ina disadvantage yake. Shida yangu nimekutana na mafundi/busines men wanauza receiver /dekoda aina ya wiz- tech wanadai kua inashika chanell zote za Tanzania na baadhi ya za nchi jirani, pia hakuna kulipia maishaini(bure kuangalia chanell ). Pia wanauza tsh 200,000/- Shida ya je, ni kweli? Je, mathara yake nini?(what are its disadvantages). La mwisho je, ni kweli free of charge kwa dekoda ya continental inaisha August 2015? Shukrani ndugu zangu!

Hizo receiver za wiztech zipo poa sana, yeyote ile iliyoandikwa mpeg4 ni nzuri, na bei yake inaanzia elfu 50 mpaka 120,000/- na wiztech nzuri zaid ni wiz999 hd super! Mimi ninayo wiz3020 nilinunua elfu 55, hizo local unazipata kupitia package ya continental na ting, ila continental wakifunga basi utabaki na tbc na chanel ten!
Receiver za wiztech zinauzwa kati ya sh 80,000 hadi 120,000,Mwanza,ushauri wangu kma unataka kuona hzo channel za continental ni bora ununue decoder yao ambayo nadhani ni 110,000 ili hata wakija kuzifunga channel zao ww uendelee kuziona.