nikipata VB.NET, C#, C++, ASP.NET, Nyingine zozote zinazoweza kunifaa
All the best,naamini huko shule unafanya vizuri,usije jifunza mambo mengi usiyoyahitaji kwa sasa then ukafail hiyo Secondary yako kisa programming."Do the right thing at the right time".habari za mchana wadau kiukweli mimi ni mwanafunzi wa sec na huwa natumia muda mchache wa likizo kufanya practical sasa nilikuwa nasoma web developing na nimefanikiwa kuelewa html,css,na javascript sasa nilikuwa nataka niamie apps developing nilianza kusoma python alafu C# lakini zote naona sizielewi so nilikuwa naombeni ushauli nianze na nini maana dhumuni langu ni kuja kutengeneza app kama ya fb itakayo kuwa inareact with my server
habari za mchana wadau kiukweli mimi ni mwanafunzi wa sec na huwa natumia muda mchache wa likizo kufanya practical sasa nilikuwa nasoma web developing na nimefanikiwa kuelewa html,css,na javascript sasa nilikuwa nataka niamie apps developing nilianza kusoma python alafu C# lakini zote naona sizielewi so nilikuwa naombeni ushauli nianze na nini maana dhumuni langu ni kuja kutengeneza app kama ya fb itakayo kuwa inareact with my server
Kwa app kama fb unatakiwa kujua php,javascript,css,html na sql kwa ajil ya database
No Shortcut, Learn it yourself or pay somebody to teach you!
Sharing haina malipo ila hapo sio kwamba ana swali. Anahitaji darasa kabisa la kumpa misingi, ndio nikasema niliyosema.Mkuu Mtangoo!
Sio mbaya tukishare knowledge tuliyonayo bila kutegemea malipo. Nchi yetu bado ipo nyuma sana ktk ulimwengu wa IT.
Mpe kijana ujuzi,pengine atakuwa developer mzuri ktk ofisi yako. hehehehe.
Hongera kwa kazi nzuri ya IT unayoifanya.
Pamoja