habari za mchana wadau kiukweli mimi ni mwanafunzi wa sec na huwa natumia muda mchache wa likizo kufanya practical sasa nilikuwa nasoma web developing na nimefanikiwa kuelewa html,css,na javascript sasa nilikuwa nataka niamie apps developing nilianza kusoma python alafu C# lakini zote naona sizielewi so nilikuwa naombeni ushauli nianze na nini maana dhumuni langu ni kuja kutengeneza app kama ya fb itakayo kuwa inareact with my server
Soma PHP then C++ !

1. Lengo lako ni kutengeneza application kama ya facebook na si kusoma ili uonekane umesoma au sio?
2. Application unayotaka ni web-based application:
a. Ina client side
b. Ina server side
3. Client side
Unawezatumia client side technogy kama vile:
a.html+javascript+css
b. asp.net(.aspx,.cshtml)+javascript+css
c. .jsp+javascript+css
... zipo client technology kibao, hizi ni chache tuu
4. Server side
Unaweza tumia server side technology kama vile:
a. php (PHP)
b. asp.net code behind file, asp.net mvc controller (kwa ufupi ni asp.net technology) (C#,Visual Basic a.k.a VB, C++)
c. jsp, servlets (Java)
5. Mwingiliano wa client side na server side
I. 3(a) inawork na 4 zote
II. 3(b) inawork na 4(b)
III. 3(c) inawork na 4(c)
6. Data side
Server side lazima iwasiliane na data side e.g kuchota au kuweka data kulingana na business process yako.
Nadhani nimetumia mfano mrahisi kukupa picha halisi.
Dhana ya kusema soma C++, sijui python, sijui nn, ni kupoteza muda tuu. Unawezasoma haya madude yooote na usifanye cha maaana.
Good luck na project yako.
Lengo langu si kusoma tu bali nasoma kwa sababu hio nahivyo vyote ulivyo ongelea ndivyo nataka sasa nianzie wapi bro?
Thank you ngoja nianze kazi ya kusoma bro lakini kama una notes kidogo ambazo hazita nichanganya sana naomba unipatie
nikipata VB.NET, C#, C++, ASP.NET, Nyingine zozote zinazoweza kunifaa
1. Lengo lako ni kutengeneza application kama ya facebook na si kusoma ili uonekane umesoma au sio?
2. Application unayotaka ni web-based application:
a. Ina client side
b. Ina server side
3. Client side
Unawezatumia client side technogy kama vile:
a.html+javascript+css
b. asp.net(.aspx,.cshtml)+javascript+css
c. .jsp+javascript+css
... zipo client technology kibao, hizi ni chache tuu
4. Server side
Unaweza tumia server side technology kama vile:
a. php (PHP)
b. asp.net code behind file, asp.net mvc controller (kwa ufupi ni asp.net technology) (C#,Visual Basic a.k.a VB, C++)
c. jsp, servlets (Java)
5. Mwingiliano wa client side na server side
I. 3(a) inawork na 4 zote
II. 3(b) inawork na 4(b)
III. 3(c) inawork na 4(c)
6. Data side
Server side lazima iwasiliane na data side e.g kuchota au kuweka data kulingana na business process yako.
Nadhani nimetumia mfano mrahisi kukupa picha halisi.
Dhana ya kusema soma C++, sijui python, sijui nn, ni kupoteza muda tuu. Unawezasoma haya madude yooote na usifanye cha maaana.
Good luck na project yako.
Kwa Apps soma Java, Android, Pro C, Objective C, HTML 5
Ila we unaonekana unakichwa kiteke teke ndo maana umeshindwa kuielewa Python language for beginers

Nataka kusoma Linux server bila knowledge yoyote ya IT...is that possible?
Je,kama sio possible nianze na nn na kama kuna website unajua wanatoa Training naomba kujua iwe FREE au PAID
Nashukuru