Wakuu msaada please..!! Batani zangu za Pc zina staki(zinakataa kufanya kazi) moja baada ya moja kila baada ya muda. Tatizo ni nini?? Kuna namna ya kutatua tatizo au ninunue keyboard nyingine??
Mkuu jaribu external keyboard, kama itafanya kazi inamaanisha tatizo ni keyboard siyo computer.. Baada ya hapo unaweza kumwona mtaalam akubadilishie keyboard. Option nyingine ni kukagua kama driver zote zipo