PayPal is the most secure paying channel ukilizwa wako responsible,so go aheadHabari za kazi wana jamvi nilikuwa naomba ushauri nahitaji kununua mzigo Alibaba ila huyo seller ana option ya kulipia kwa paypal je pesa yangu itakuwa safe endapo mzigo hautofika kama wafanyavyo ebay. Maana sitaki kutumia Escrow,T/T wala Western Union