Wana JF kama kuna mdau anafahamu vizuri kuhusu Open University kwa tulochaguliwa na tcu vipi tunapata mkopo na boom, na vipi kuna hostel, nisaidieni wadau!
Ndugu yangu ukiwa Open University unakuwa eligible kupewa tuiton fees na stationary tu na bodi ya mikopo hakuna boom kwa kuwa Open wanasoma kwa mtindo wa Open and Distance Learning ( ODL ) kunakuwa hakuna regular classes km vyuo vyengine
Wana JF kama kuna mdau anafahamu vizuri kuhusu Open University kwa tulochaguliwa na tcu vipi tunapata mkopo na boom, na vipi kuna hostel, nisaidieni wadau!
Siku nyengine uombe ushauri kabla haujafanya maamuzi ndg OUT unsoma ukiwa home aise thats why hata boom hupewi na open mara nyingi wanasoma watu wenye majukumu mengi bro kwa wewe huko hakujufai kabisa
Na ukiomba transfer baada ya mikopo kutoka itakuwia vigumu wewe kuongezewa pesa so if possible ungeenda ofisi za heslb wakupe ushauri mapema la kufanya otherwise utafanya transfer then unabadilishiwa chuo na boom hauna
Wana JF kama kuna mdau anafahamu vizuri kuhusu Open University kwa tulochaguliwa na tcu vipi tunapata mkopo na boom, na vipi kuna hostel, nisaidieni wadau!