Msaada kuhusu One Plus 8 pro (S20 Utra/Note 20 Utra)

Inabidi tufungue uzi wa oneplus member Tz ikiwezekana kama kuna mtu ana connection uchinani awe anatupa bei zake itaikiwa refublished watu watanunua tu

Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
 
Hio one plus hata oppk hamkaribii

Balaa la oppo mwaka huu tu kachukua tuzo bora
Mi ninayo Oppo A9 (2020), very amazing, display safi, Kamera nzuri, sound yake hasa unaposikiliza mziki ni bomba sana, kwa simu ambazo nilisha wahi kutumia, imenifurahisaha sana, halafu niliinunua tu kutaka kupata flavour tofauti na simu zilizozoeleka nikajikuta naipenda kuliko maelezo.
 
India zimejaa kila kona. Brand zao ni Xiaomi, Oppo, One plus, Vivo, Motorola, Honor na IPhone.

Uko India sehemu gani mkuu?
We jamaa bila shaka ndio uliniletea earphone na mashine ya ndevu ulipokua india kipindi kile boss lini unaenda tena namba yako nilipoteza aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…