Allydasmartboy001
JF-Expert Member
- Jul 14, 2018
- 604
- 218
Sasa mm nataka tuachane na gharama yaan ipi simu kari kati ya one plus na samsung S 20 na note 20 utraOneplus ni nzuri zaidi ukilinganisha na gharama.
Haya ndugu yangu hapo nimekuapata kakamkuu tunapozungumzia simu duniani kwa ubora na uwezo kila mwaka.
samsungu, apple, huawei. baada ya hapo nyingine ndio zinafuata sasa kwa vigezo vya bei nk.
kama una mpunga wa kutosha usisite kuchukua hiyo s20 ultra ni simu zote.
Mkuu oneplus unaijua au unasikia??mkuu tunapozungumzia simu duniani kwa ubora na uwezo kila mwaka.
samsungu, apple, huawei. baada ya hapo nyingine ndio zinafuata sasa kwa vigezo vya bei nk.
kama una mpunga wa kutosha usisite kuchukua hiyo s20 ultra ni simu zote.
Kwa upande wako kati ya one plus na samsung ipi simu kari??Mkuu oneplus unaijua au unasikia??
Samsung zipo zinapigwa chini na oneplus mfano oneplus 8 pro inapiga samsung njeKwa upande wako kati ya one plus na samsung ipi simu kari??
Ushawahi kuiona samsung s20 weweSamsung zipo zinapigwa chini na oneplus mfano oneplus 8 pro inapiga samsung nje
Hio one plus hata oppk hamkaribiiSamsung zipo zinapigwa chini na oneplus mfano oneplus 8 pro inapiga samsung nje
Weka sehemu zilizopata zawadi hapa kama oneplus haipoHio one plus hata oppk hamkaribii
Balaa la oppo mwaka huu tu kachukua tuzo bora
The OnePlus 8 Pro walipata tuzo bora ya Smartphone. Jopo la waamuzi lilifurahishwa na jinsi kifaa huchanganya muundo na cutting edge, ikionyesha display ya 120 Hz 1440p +, Warp Charge 30 WirelessWeka sehemu zilizopata zawadi hapa kama oneplus haipo
Na samsung walipata ipi?The OnePlus 8 Pro walipata tuzo bora ya Smartphone. Jopo la waamuzi lilifurahishwa na jinsi kifaa huchanganya muundo na cutting edge, ikionyesha display ya 120 Hz 1440p +, Warp Charge 30 Wireless
One plus kashinda hapo
Tuzo bora zaidi ya Smartphone ilikwenda kwa Oppo find X2 Pro. Timu ya EISA inaiita "OPPO's smartphone bora zaidi bado" na inapenda onyesho la 120 Hz HDR, kuhifadhi nafasi 512 GB na chaja ya haraka 65 W.
Oppo kaondoka na hiyo
Oneplus ni best.Sasa mm nataka tuachane na gharama yaan ipi simu kari kati ya one plus na samsung S 20 na note 20 utra
Samsung ndiyo anashukaga kama utelezi hivi yan ghafla utaona bei iko chini ila hizi oneplus zinashuka kwa taratibu sanaNina dream ya kumiliki oneplus kwa kwel ila tatizo hizi simu zao uwaga azishuki bei sijui kwa nini
Ndio kazisikia leo huyuMkuu oneplus unaijua au unasikia??