Pure Scientific
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 716
- 644
Msaada wakuu kuna ndugu anataka asome chuo cha nesi akiwa na biology D bila kuwa na chemistry,physics je anaweza na kama inawezekana msaada wa hiko chuo
Please ingia NACTE utakuta kila kitu kwenye guide book.Msaada wakuu kuna ndugu anataka asome chuo cha nesi akiwa na biology D bila kuwa na chemistry,physics je anaweza na kama inawezekana msaada wa hiko chuo
Jamani!!eti vialama vyakeHuyo kafeli, mwambie asiwe na tamaa za unesi, au lengo lako atuue wagonjwa....?
So basi atafute kozi nyingine itayoendana na hivyo vialama vyake
Iyo course ukimaliza unaweza kuendelea?Hawezi soma nurse.... Ingia NACTE utaona vigezo wanavyohitaji ....Hiyo labda akasome kozi ya Medical Attendant mwaka mmoja
Naomba msaada kuhusu hiyo course ya medical attendat na wapi inafundishwaHawezi soma nurse.... Ingia NACTE utaona vigezo wanavyohitaji ....Hiyo labda akasome kozi ya Medical Attendant mwaka mmoja